current location : Lyricf.com
/
Songs
/
Atarudi lyrics
Atarudi lyrics
turnover time:2024-06-16 03:39:14
Atarudi lyrics

Hey!

Na yeye ni mwanadamu

Na dunia tunapita

Kama kupata kwa zamu

Oh zamu, yangu itafika

Siwezi kana damu

Kesho ataja nizika

Ila ningependa mfahamu afahu

Haya mateso alonipa, uhm...

Tena mwambie ni aloninyima mimi

Ndo kampa yeah yeaah

Kupata foleni, nasubiri yangu mimi

Hata ichelewe aye yeaah

Oh oh ooh

Sina furaha naigiza

Ilimladi watoto wasijihisi vibaya

Huyu mdogo anauliza

"Eti daddy, mama amehama kaya"

Cha kujibu sina, nabaki tu kusema

Atarudi (atarudi mama)

Atarudi (anawapenda sana)

Atarudi (atawaletea zawadi)

Atarudi (atarudi mama)

Atarudi (atarudi mama)

Atarudi (anawapenda sana)

Atarudi (atawaletea zawadi)

Atarudi...

Ziwezi sema sijui tatizo

Hali yangu duni imefanya ukanikimbia

Ni vyema ungefanya maigizo

Mala kumi usingenizalia

Uuuhm, inagali mapenzi pekee

Ningesema ni changamoto nijifunze

Amenacha mpwekee

Na watoto niwatunze

Hey!

Ila siwezi mlaumu (aaaaa aaah)

Huenda yupo sawa (aaaaa aaah)

Kipato changu kigumu (aaaaa aaah

Kuta bumunda na kahawa (aaaaa aaah

Hey!

Ila mwambie aloninyima mimi

Ndo kampa yeye yeaaah

Kupata foleni nisubiri yangu mimi

Hata ichelewe yeaah, yeah

Oh oh oooh

Sina fyraha naigiza

Ilimladi watoto wasijihisi vibaya

Huyu mdogo anauliza

"Eti daddy mama amehama kaya"

Cha kujibu sina, nabaki tu kusema

Atarudi (atarudi mama)

Atarudi (anawapenda sana)

Atarudi (atawaletea zawadi)

Atarudi (eeeh, atarudi mama)

Atarudi (atarudi mama)

Atarudi (anawapenda sana)

Atarudi (atawaletea zawadi)

Atarudi...

Comments
Welcome to Lyricf comments! Please keep conversations courteous and on-topic. To fosterproductive and respectful conversations, you may see comments from our Community Managers.
Sign up to post
Sort by
Show More Comments
Harmonize
  • country:Tanzania
  • Languages:Swahili, English
  • Genre:R&B/Soul
Harmonize
Latest update
Copyright 2023-2024 - www.lyricf.com All Rights Reserved